Kila hadithi kubwa huanzia nyumbani.
Tambua thamani yako. Simama katika KUSUDI lako.
Kuna mashujaa wanaobeba bunduki vitani… na kuna mashujaa wanaobeba imani yao tu—lakini ujasiri wao unazidi nguvu ya silaha yoyote. Katika uwanja wa vita ambapo kuua kunahesabika kama ushujaa, ni nani anayethubutu kuingia vitani bila hata kugusa silaha—na badala yake kuokoa maisha? Hacksaw Ridge ni filamu ya...
Read more...
Akiwa na umri wa miaka 13, Bethany anakumbwa na janga kubwa baada ya kung’atwa na papa, jambo lililosababisha kupoteza mkono wake wa kushoto. Kama umewahi kushuhudia mchezo huu, utagundua ni...
Read more...Kama wewe ni mpenzi wa ndondi, basi jina George Foreman si geni masikioni mwako. Big George Foreman ni Filamu ya mwaka 2023 inayosimulia historia ya kweli ya bondia aliyefanya maajabu...
Read more...Remember the Titans ni filamu ya mwaka 2000 inayosimulia hadithi ya kweli ya kimichezo. Inasimulia yale yaliyotokea miaka ya 1970 katika shule ya umma ya TC Williams, kipindi ambacho shule...
Read more...