Author's Photo

Davies Amedeus

daviesamedeus

Mimi ni mmoja wa waanzalishi wa Purpose Reels, jukwaa linalochambua filamu na kutoa mafunzo ya maisha yanayohamasisha ukuaji binafsi, nidhamu, na kuishi kwa kusudi. Kupitia simulizi na uchambuzi wa kina, Purpose Reels inaonyesha namna filamu zinavyoweza kuwa darasa la maisha na chanzo cha msukumo wa mabadiliko chanya.